Mhe.Gekul: Kumbi za Burudani Toeni Fursa kwa Bendi za Muziki wa Dansi na Wasanii Wachanga

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul ametoa wito kwa wawekezaji wa kumbi za burudani nchini kutoa fursa kwa bendi za muziki wa dansi na wasanii wachanga kufanya maonesho  katika kumbi hizo ili kukuza na kuendeleza  Sanaa  nchini. Mhe. Gekul amesema hayo Juni 25, 2021 mjini Kahama wakati akifungua eneo la